sw_pro_text_reg/18/09.txt

1 line
155 B
Plaintext

\v 9 Basi, ambaye ni mzembe katika kazi yake ni ndugu yake anayeharibu wengi. \v 10 Jina la Yehova ni mnara imara; atendaye haki hukimbilia na kuwa salama.