sw_pro_text_reg/16/23.txt

1 line
188 B
Plaintext

\v 23 Moyo wa mtu mwenye hekima hutoa busara katika kinywa chake na huongeza ushawishi katika midomo yake. \v 24 Maneno yenye kufaa ni sega la asali -matamu kwenye nafsi na huponya mifupa.