sw_pro_text_reg/15/27.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 27 Mporaji huleta shida kwenye familia yake, bali yeye ambaye huchukia rushwa ataishi. \v 28 Moyo wa yule atendaye haki hutafakari kabla ya kujibu, bali kinywa cha watu waovu humwanga ubaya wake wote.