sw_pro_text_reg/15/01.txt

1 line
168 B
Plaintext

\v 1 Jawabu la upole huondoa ghadhabu, bali neno la ukatili huchochea hasira. \v 2 Ulimi wa watu mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha wapumbavu humwaga upuuzi.