sw_pro_text_reg/14/34.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 34 Kutenda haki huliinua taifa, bali dhambi ni chukizo kwa watu wowote. \v 35 Fadhila ya mfalme ni kwa mtumishi mwenye kutenda kwa hekima, bali hasira yake ni kwa yule atendaye kwa kuaibisha.