sw_pro_text_reg/14/30.txt

1 line
177 B
Plaintext

\v 30 Moyo wenye raha ni uzima wa mwili, bali husuda huozesha mifupa. \v 31 Anayemkandamiza masikini humlaani Muumba wake, bali anayeonyesha fadhila kwa wahitaji humtukuza yeye.