sw_pro_text_reg/14/09.txt

1 line
192 B
Plaintext

\v 9 Wapumbavu hudharau wakati sadaka ya hatia inapotolewa, bali miongoni mwao waaminifu hushiriki fadhila. \v 10 Moyo unayajua machungu yake mwenyewe na hakuna mgeni anayeshiriki furaha yake.