sw_pro_text_reg/12/25.txt

1 line
166 B
Plaintext

\v 25 Mashaka katika moyo wa mtu humwelemea, bali neno zuri humfurahisha. \v 26 Mwenye haki ni kiongozi kwa rafiki yake, bali njia ya waovu huwaongoza katika kupotea.