sw_pro_text_reg/12/21.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 21 Hakuna ugonjwa utakaowajia wale watendao haki, bali watu waovu watajazwa matatizo. \v 22 Yehova anachukia midomo ya uongo, bali wale ambao huishi kwa uaminifu ndiyo furaha yake.