sw_pro_text_reg/12/03.txt

1 line
182 B
Plaintext

\v 3 Mtu hawezi kuimarishwa kwa uovu, bali wale watendao haki hawawezi kung'olewa. \v 4 Mke mwema ni taji ya mume wake, bali yule aletaye aibu ni kama ugonjwa unaoozesha mifupa yake.