\v 17 Mtu mkarimu hufaidika mwenyewe, bali mkatili hujiumiza mwenyewe. \v 18 Mtu mwovu husema uongo kupata mishahara yake, bali yeye apandaye haki anavuna mishahara ya kweli.