sw_pro_text_reg/10/22.txt

1 line
158 B
Plaintext

\v 22 Zawadi njema za Yehova huleta utajiri na haweki maumivu ndani yake. \v 23 Uovu ni mchezo achezao mpumbavu, bali hekima ni furaha kwa mtu mwenye ufahamu.