sw_pro_text_reg/10/14.txt

1 line
179 B
Plaintext

\v 14 Watu wenye hekima hutunza maarifa, bali kinywa cha mpumbavu huleta uharibifu karibu. \v 15 Mali ya mtu tajiri ni mji wake mwenye ngome; ufukara wa masikini ni uharibifu wao.