sw_pro_text_reg/10/01.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 1 Mithali za Sulemani. Mwana mwenye hekima humfurahisha baba yake lakini mwana mpumbavu huleta majonzi kwa mama yake. \v 2 Hazina zilizolimbikizwa kwa uovu hakosa thamani, bali kwa kutenda haki hujilinda mbali na kifo. \v 3 Yehova hawaachi wale watendao haki wapate njaa, bali hamu ya waovu huizuia.