sw_pro_text_reg/09/13.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 13 Mwanamke mpumbavu anakelele nyingi- hajafunzwa wala haelewi chochote. \v 14 Anakaa kwenye mlango wa nyumba yake, kwenye kiti cha sehemu ya juu sana ya mji. \v 15 Anawaita kwa sauti wanaopita karibu, watu wale wanaotembea wima katika njia zao.