sw_pro_text_reg/09/05.txt

1 line
136 B
Plaintext

\v 5 Njoo, ule chakula, na unywe divai nimeshaichanganya. \v 6 Acheni njia zenu za kijinga, na mkaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu.