sw_pro_text_reg/04/13.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 13 Shika mwongozo wala usiuache, utakuongoza, maana ni uzima wako. \v 14 Usifuate njia ya waovu wala usiende katika njia ya watendao uovu. \v 15 Jiepushe nayo, usipite katika njia hiyo; geuka na upite njia nyingine.