sw_pro_text_reg/04/10.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 10 Mwanangu, sikiliza, na kuzingatia maneno yangu, nawe utapata miaka mingi ya maisha yako. \v 11 Ninakuelekeza katika njia ya hekima, nimekuongoza katika mapito yaliyonyooka. \v 12 Unapotembea, hakuna atakayesimama katika njia yako na kama ukikimbia hutajikwaa.