\v 19 Kwa hekima Yehova aliweka msingi wa dunia, kwa ufahamu aliziimarisha mbingu. \v 20 Kwa maarifa yake vina vilipasuka na mawingu kudondosha umande wake.