\v 11 Mwanangu, usidharau kuadibishwa na Yohova na wala usichukie karipio lake, \v 12 maana Yehova huwaadibisha wale wapendao, kama baba anavyoshughulika kwa mtoto wake ampendezaye.