sw_pro_text_reg/01/20.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 20 Hekima inalia kwa sauti mtaani, inapaza sauti katika viwanja; \v 21 katika mitaa inalia kwa sauti kuu, kwenye maingilio ya milango ya mji inasema " \v 22 Mpaka lini enyi wajinga mtapenda kuwa wajinga? Mpaka lini enyi wenye dhihaka mtapenda dhihaka, na hadi lini enyi wapumbavu, mtachukia maarifa?