sw_pro_text_reg/01/07.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 7 Hofu ya Yehova ni chanzo cha maarifa- wapumbavu hudharau hekima na nidhamu. \v 8 Mwanangu, sikia fundisho la baba yako na wala usiziache kanuni za mama yako; \v 9 zitakuwa kilemba cha neema katika kichwa chako na jebu zinazoning'inia kwenye shingo yako.