\v 14 Hufurahia wanapotenda maovu na hupendezwa katika upotovu. \v 15 Hufuata njia za udanganyifu na kwa kutumia ghilba huficha mapito yao.