\v 25 Kumwogopa binadamu ni mtego, bali mwenye kumtumaini Yehova atalindwa. \v 26 Wengi huutafuta uso wa mtawala, bali kutoka kwa Yehova huja haki kwa ajili yake.