sw_pro_text_reg/15/11.txt

1 line
166 B
Plaintext

\v 11 Kuzimu na uharibifu vipo wazi mbele za Yehova; je si zaidi sana mioyo ya wana wa wanadamu? \v 12 Mwenye mzaha huchukia masahihisho; hatakwenda kwa wenye hekima.