\v 15 Busara njema huleta fadhila, bali njia ya wadanganyifu haina mwisho. \v 16 Watu wenye busara hutenda kwa maarifa kwa kila uamuzi, bali mpumbavu huonyesha upuuzi wake.