\v 29 Yehova yupo mbali na watu waovu, bali husikia maombi ya wale watendao haki. \v 30 Nuru ya macho huleta furaha moyoni na habari njema ni afya kwenye mwili.