\v 19 Usifadhaike kwa sababu ya watenda mabaya, na wala usiwahusudu watu waovu, \v 20 maana mtu mbaya hana matumaini na taa ya watu waovu itazimika.