\v 3 Kwa hekima nyumba hujengwa na kwa ufahamu huimarishwa. \v 4 Kwa maarifa vyumba hujazwa vitu vyote vya thamani na utajiri wa kupendeza.