\v 3 Mtu mwenye hekima huiona taabu na kujificha mwenyewe, bali mjinga huendelea mbele na huumia kwa ajili yake. \v 4 Thawabu ya unyenyekevu na kumcha Yehova ni utajiri, heshima na uzima.