sw_pro_text_reg/21/13.txt

1 line
167 B
Plaintext

\v 13 Anayeziba masikio yake kwenye kilio cha masikini, pia atalia, lakini hatajibiwa. \v 14 Zawadi ya siri hutuliza hasira na zawadi ya kificho hutuliza ghadhabu kuu.