\v 19 Mtu mwaminifu atendaye haki ataishi, bali yeye atendaye uovu atakufa. \v 20 Yehova anawachukia wenye ukaidi mioyoni, bali anawapenda wale ambao njia zao hazina makosa.