\c 24 \v 1 Usiwe na husuda kwa wenye ubaya, wala usitamani kuambatana nao, \v 2 kwa sababu mioyo yao inapanga njama za vurugu na midomo yao huongea juu ya madhara.