\v 13 Mfalme hufurahia midomo ambayo husema haki na anampenda mwenye kusema waziwazi. \v 14 Hasira ya mfalme ni mjumbe wa mauti lakini mtu mwenye busara atajaribu kutuliza hasira yake.