\v 5 Shahidi mwaminifu hasemi uongo, bali shahidi wa uongo hupumua uongo. \v 6 Mwenye dharau hutafuta hekima na hakuna hata, bali maarifa huja kwa urahisi kwa mwenye ufahamu.