sw_pro_text_reg/03/13.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 13 Yeye apataye hekima anafuraha, naye hupata ufahamu. \v 14 Kwani katika hekima unapata manufaa kuliko ukibadilisha kwa fedha na faida yake inafaa zaidi kuliko dhahabu.