\v 5 Mtegemee Yehova kwa moyo wako wote na wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe, \v 6 katika njia zako zote mkiri Yeye na yeye atayanyosha mapito yako.