sw_pro_text_reg/14/01.txt

1 line
193 B
Plaintext

\v 1 Mwanamke mwenye busara huijenga nyumba yake, bali mwanamke mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. \v 2 Yeye aendaye kwa uaminifu humcha Yehova, bali mkaidi humdharau katika njia zake.