\v 5 Jipatie hekima na ufahamu; usisahau na kuyakataa maneno ya kinywa changu; \v 6 usiiache hekima nayo itakulinda; ipenda nayo itakuhifadhi salama.