|
\v 13 Huchagua sufu na kitani, na hufanya kazi yake ya mikono kwa furaha. \v 14 Yupo kama meli za wafanyabiashara; huleta chakula chake kutoka mbali. \v 15 Huamka wakati wa usiku na kuwapa chakula watu wa kaya yake, na kugawa kazi kwa watumishi wake wa kike. |