\v 21 Chini ya vitu vitatu dunia hutetemeka na vinne haiwezi kuvivumilia: \v 22 mtumwa anapokuwa mfalme; mpumbavu anaposhiba vyakula; \v 23 mwanamke anayechukiwa anapoolewa; kijakazi anapochukua nafasi ya mkuu wake.