sw_pro_text_reg/30/13.txt

1 line
244 B
Plaintext

\v 13 Hicho ni kizazi jinsi gani macho yao yana kiburi na kope zao zimeinuka juu! - \v 14 kuna kizazi ambacho meno yao ni upanga, na mifupa ya taya zao ni visu, ili waweze kumrarua masikini wamtoe duniani na mhitaji atoke miongoni mwa wanadamu.