1 line
314 B
Plaintext
1 line
314 B
Plaintext
\v 7 Vitu viwili ninakuomba, usivikatalie kwangu kabla sijafa: \v 8 Majivuno na uongo viweke mbali nami. Usinipe umasikini wala utajiri, nipe tu chakula ninachohitaji. \v 9 Maana nikipata vingi zaidi, nitakukana wewe na kusema, " Yehova ni nani?" Au kama nitakuwa masikini, nitaiba na kukufuru jina la Mungu wangu. |