\v 23 Kiburi cha mtu humshusha chini, bali mwenye roho ya unyenyekevu atapewa heshima. \v 24 Anayeshirikiana na mwizi huyachukia maisha yake mwenyewe; husikia laana na wala hasemi chochote.