\v 5 Mtu anayejipendekeza kwa jirani yake anatandaza wavu kwenye miguu yake. \v 6 Mtu mbaya hunaswa kwenye mtego wa dhambi yake mwenyewe, bali yeye atendaye haki huimba na kufurahi.