sw_pro_text_reg/27/21.txt

1 line
173 B
Plaintext

\v 21 Kalibu ni kwa fedha na tanuru ni kwa dhahabu; na mtu hujaribiwa anaposifiwa. \v 22 Hata kama utamponda mpumbavu kwa mchi pamoja na nafaka bado upumbavu wake hautatoka.