\v 17 Chuma hunoa chuma; kwa njia ile ile; mtu humnoa rafiki yake. \v 18 Yule anayeutunza mtini atakula matunda yake, na yule mwenye kumlinda bwana wake ataheshimiwa.