\v 27 Anayechimba shimo atatumbukia ndani yake na jiwe litamsaga yule anayelisukuma. \v 28 Ulimi wa uongo huchukia watu unaowajeruhi na kinywa cha uongo husogeza karibu uharibifu.