sw_pro_text_reg/24/17.txt

1 line
155 B
Plaintext

\v 17 Usisherekee wakati adui yako anapoanguka na wala moyo wako usifurahi anapojikwaa, \v 18 au Yehova ataona na kutoridhika na kuondoa ghadhabu juu yake.