\v 8 Kuna yule mwenye kupanga kufanya mabaya, watu wanamwita bwana wa njama. \v 9 Mipango ya mpumbavu ni dhambi na watu humchukia mwenye dhihaka.